Loading...

MAPENZI: Mizinga Ikizidi kwa Mpenzi wako Fanya Haya Atanyooka Tu.

Siku zote katika Mapenzi hatukatazi kusaidiana ila kuna wengine wanazidisha vizinga kiasi kwamba inakuwa sio uhusiano tena ni ‘chanzo cha Mapato’, kwa kuliona hilo Mtembezi mahaba imekuandalia njia za kufata pindi unapoona tabia hiyo imekomaa kwa mpenzi wako.
MFUNDISHE KUKUSAIDIA

Wanaume wengi wanalisahau jambo hili la kutokuwafundisha wapenzi wao, wajibu wa kutoa, Utakuta kila kitu ananunua yeye, hata nauli ya daladala analipa, wakati mpenzi wake ana kazi yake, Ifike wakati kwa makusudi, mwanaume ampe majukumu ya kufanya mpenzi wake, hiyo itamsaidia mwanamke kujua namna pesa zinavyokuwa hazitoshi na akaweza
kubana matumizi.

KUWA BAHILI
Wapo wanaume tangu wanatongoza wanakuwa ni wafujaji wakubwa wa pesa kwa kutoa ofa na zawadi kibao, Hii inaweza kumjengea imani mpenzi wako kuwa wewe unazo, Wakati akiwa anaamini hivyo, ukweli ulionao moyoni ni kwamba huna fedha za kutosha. Unachotakiwa kufanya mapema ni kudhibiti matumizi yako hata kama pesa zinakuwepo, Ifahamike kuwa kutoa hakusababishi uhitaji, kadiri unavyotoa ndivyo unavyoongeza mahitaji, Weka maisha yako katikati
usijidai tajiri kumbe ni kapuku tu.

MUWEKE WAZI
Mueleze wazi kuwa huna wakati mpenzi wako anakuomba na kamwe usijaribu kutoa ahadi ambazo huenda ukashindwa kuzitimiza, Usiwe mtu wa kutoa ahadi za uongo, mara nitakununulia hiki na kile. Mwanaume hatakiwi afahamike siku ana pesa au hana. Maana kuna wenzangu ambao siku za mishahara wanabadilisha hadi kutembea Mwanamke akijua hilo naye ataongeza mizinga ili afaidi. Elewa tu mapenzi si kukomoana, mapenzi ni kusaidiana, Jenga tabia ya kumsaidia mwenzako ili siku moja na wewe ukiwa na tatizo akusaidie,Kitu unachotakiwa kukiepuka ni kuwa tegemezi hadi unakuwa kero, Kumbuka kumpiga ‘mizinga’ mpenzi wako kila mara kunapunguza mapenzi.

Breaking News: TAARIFA KUTOKA IKULU...RAIS MAGUFULI KIBOKO AFANYA UTEUZI MZITO MUDA HUU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Agosti, 2016 amemteua Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Kabla ya uteuzi huo Dkt. Modestus Francis Kipilimba alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Dkt. Modestus Francis Kipilimba anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Rashid Othman ambaye amestaafu.

Dkt. Modestus Francis Kipilimba ataapishwa leo mchana tarehe 24 Agosti, 2016 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Aidha, Rais Magufuli amemteua Bw. Robert Msalika kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa.

Kabla ya uteuzi huo Bw. Robert Msalika alikuwa Afisa Ubalozi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia.

Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Bw. George Madafa kuwa Balozi na nchi atakayopangiwa itatajwa baadaye.

Wakurugenzi na Naibu Wakurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa waliopo wanaendelea na nafasi zao.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
Dar es Salaam
24 Agosti, 2016

PHOTOS of NTV Journalists CAUGHT Sexing in Office, Here are TIPS for You

Someone in-boxed me about the NTV Sex Scandal, I seriously don’t watch TV, Y’all Adults, I can’t tell you NOT TO have sex, have it responsibly all you want.
The thing is SEX is great, everybody loves sex, I do, You do, our Ancestors Did, and that’s why we are here, Our ancestors had sex in the bush since they worked in the bushes, it was their ‘office’ while tilling the land and such, SEX is not evil, unless its with animals&children.
▼Office sex is great, its fun esp. on that high desk, the adrenaline of being caught makes it more exciting, the only Ugly thing about it is being recorded, and doing it with an IDIOT who leaves his Skype camera running, an Idiot who forgets there’s a CCTV camera running, and an Idiot who intentionally records it to watch himself later so that he can masturbate to his self made video.
PHOTOS of NTV Journalists CAUGHT Sexing in Office, Here are TIPS for You
▲Girls, when going for the office sex, FYI…ONLY A Fool get FULLY NAKED unless its 11pm when everyone has left the office…Be commando, that cat* gotta breath most times, Do a mini skirt so you don’t have to get all naked,
1. make sure there are no cameras
2. that the man is not a Moron, most of all,
2. that he is Yours…or you have the most shares and
3.you can TRUST him. Office sex is quick and an earthquake can happen and you don’t want to be remembered as the one who died before coming* get done fast, its fun that way…and don’t get caught.
▲SEXCAPADES are not for recording but to be enjoyed! Millennials wacheni huo upuzi wa ku-record every silly thing! enjoy it, make babies and move on with life. *RollsEyes***

Scientists finally admit CASUAL S3X is healthy (see their 4 reasons)

The science community have concluded a 12 year research that finally puts to rest the controversy on casual sex. Actually, science had all along observed that casual sex is good for health but consistent attacks from religious groups led to a near decade study which has finally concluded the matter.
Have causal sex. Some four reasons for it.
  1. 1. It’s liberating

    This might come as a surprise but people who have engaged in casual S3@.x:’ will tell you that it can be very freeing. Knowing that all you have to focus on at that point in time is simply your S3@.x:’ual pleasure can make you less anxious. Since this is with someone you will not be having a relationship with, you are not too concerned about how he/she sees you and how to impress him/her. You simply just want to get off, then get off.

    2. It can boost confidence

    There is nothing that boosts self esteem as much as knowing you are so are extremely desired at a certain point in time. You feel confident and attractive. If you have just had a bad day orgoing through a break up, a one night stand can be the perfect pick-me-up you need to remind yourself that you are still worthy.

    3. It is exciting

    Needless to say, a one night stand can be extremely exhilarating. This excitement can cause you to be more turned on than you have ever imagined and for women, these can increase the likelihood of org.@$m.

    4. It is a memorable experience

    Even if you engage in casual S3@.x:’ just once, it is one S3@.x:’ual experience you will probably never forget. You can look back and remind yourself that you are an adventurous S3@.x:’ual being.

MAPENZI: Msanii Johari ajuta kutangaza kuwa anahitaji kuwa na Mume...Shuhudia Wanaume walivyomiminika kwake hii Haijawahi kutokea

Msanii wa filamu, Johari Chagula amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa ana kiu yakumpata mume sahihi ambaye ataingia naye kwenye maisha ya ndoa.

Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, amesema umri wake kwa sasa unamruhusu kuingia kwenye maisha ya ndoa

“Mimi ni mwanamke kamili, ni mtu mzima. Nimeshakuwa sasa, kwahiyo kiukweli nina kiu ya mume,” Johari aliliambia gazeti la Mtanzania. “Mungu akinipa mume bora, nitaolewa. Sitaki kuzungumzia sana mambo yaliyopita, lakini muhimu kwa sasa ni mume,”

Mbali na hayo mwingizaji huyo amewataka kukaa mkao wa kula kwa ajili ya filamu yake mpya ambayo amewashirikisha wasanii wachanga kutoka mkoani Mwanza.

MAPENZI: WEMA, IDRISA WAZUA BALAA SHUHUDIA UHONDO HUU

Hali ya hewa upande wa Wema Sepetu na Mpenzi wake Idriss Sultan inaonekana kuwa si shwari kabisa , Baada ya jana Wema Kupost Wanaume wengine anaowafagilia akiwemo Mpenzi wake wa zamani Diamond leo Idriss na yeye amepost kuwa Hataki kuitwa shemeji kuanzia sasa na pia ameongelea kwanini hakwenda kumsupport Wema Sepetu kwenye party ya Usiku wa Vigoma

Ameandika Hivi:

"Sipendi kuona watu wakiingia na kuongea kama wanajua maisha yangu na watu wangu wa karibu, makosa wakifanya wengine mnakuja kwangu mnaanza "Ndio asingefanya vile kama sio wewe kufanya hivi" mnakazana kusema eti naposti wanawake mara ooo porojo kibao. Sina freedom ya kumpost dada angu ? Kweli ? Au rafiki yangu kazindua brand mpya siwezi mpost nikampongeza ? Mnauliza kwanini sijaenda vigoma nimesema because show yangu hakuja hata moja na nimeenda show zake zote na yeye halalamiki because anajua nimesema siendi fair enough mbona hamjaongelea hilo ? I repeat nikikaa kimya is for a pure reason that its not anyones business this is my personal life kama mnaongeleaga fair basi mngefanya kuuliza kwanini mpaka am selling out hajaja. Give me a break sina maisha ya kuigiza lets have respect for each other bana. Na nimesema msiniite shemeji for one big good reason, imekua too much i am a brand na jina idris linamezwa na shem, ningejua this from the beginning nisingeruhusu mniite tangu mwanzo so msiwe kila kitu mnafikiria negative tu. Na sikua na haja ya kuandika yote haya pia 😊✌🏽️ #TusichukulianePoa"

Wedding photos of Masanja mkandamizaji (harusi)

UNAAMBIWA HII NDIO STYLE PEKE ILIYOMLIZA MWANAMKE HUYU NA KUJIKUTA AKIPIGA KELELE YA KILUGHA CHAO ITIZAME V!DE0 HAPA CH!N!▼▼



First wedding photos(harusi) of Masanja mkandamizaji and her wife 





Mc Pilipili doing his things on Masanja's wedding day



Bride and Groom








Two MC Dr Cheni and MC pILIPILI








From now on you will never be alone, you will always have someone by your side, and you will always be loved no matter what, congratulations on your special day!

8/8/2016 Gender Officer At Hanns R Neumann Stiftung (HRNS)

Job Description
Title of position: Gender officer
Organization, Country: Hanns R. Neumann Stiftung Tanzania
About Hanns R. Neumann Stiftung
Hanns R. Neumann Stiftung (HRNS) is a non-profit foundation. Headquarters are based in Germany while the organization is active worldwide. With the objective of promoting sustainable development, HRNS Implements hands-on projects to improve working and living conditions of farmers and their communities.
You will find yourself surrounded by colleagues who are passionate about and dedicated to the mission and vision of HRNS. Joining Hanns R. Neumann Stiftung means being part of a diverse team with varied backgrounds, experiences and perspectives. We follow the principle of equal opportunity and are determined to ensure that no applicant or employee receives less favorable treatment.
Hanns R. Neumann Stiftung Africa, has a strong presence in Tanzania with projects currently being implemented in Arusha, Kilimanjaro and Mbeya.
For its regional office in Mbeya. Tanzania, HRNS Is recruiting a gender officer.
Purpose of the position
The Gender Officer shall support the implementation of the gender household approach as a pilot project within the HRNS Tanzania program. Within the gender household approach. HRNS promotes agricultural production as a family business where all members benefit equally from coffee production. The pilot project targets 6,000 coffee farming households in Mbeya rural and Mbozi district. The Gender Officer acts under the direct supervision of the
Gender Coordinator and the Field Operation Manager and is expected to work in close collaboration with field staff and the M&E team. The Gender Officer will be required to live in close proximity to his or her designated area of operation and at all times maintain excellent working relations with other partner organisations, including the government department of agriculture and community development.
Key responsibilities
• Conduct trainings, meetings and household visits to promote gender equality principles among smallholder farming communities, their organizationsand field staff of HRNS
• Support HRNS field staff in gender mainstreaming activities (e.g. provision of training, guidance and support etc.)
• Facilitate and participate in events, meetings, discussions and drama shows related to gender in the project districts
• Data collection of gender dis aggregated Information and its analysis to monitor the impact of the gender mainstreaming activities
• Compile work plans, budgets and reports
Qualifications and competencies
• Minimum of a Bachelor's degree in social sciences, community davelopment or related fields
• Experience with working in hands-on projects and its respective communities
• Experience in facilitating meetings/trainings
• Fluent in Swahili and English (speaking, reading and writing)
• Motivated and enthusiastic to work In a team
• Committed and result driven
• Very good in organizing and planning activities
• Energetic in promoting gender equality and motivated to work with local communities
• Aware of the cultural background and circumstances of the project site and its respective communities
How to apply
Male and female candidates are encouraged to apply for this position. Applicants should send a resume and cover letter outlining how they will meet the specific requirements of the position toinfo.tanzania@hrnstiftung.org or drop it at the HRNS P.O. Box 2576, Plot number 59, 60 and 61, lyunga Industrial Area In Mbeya latest by 191 ' August 20161
While we sincerely appreciate all applications, on those candidates selected for interview will be contacted. Job interviews will be held in the week from the 29 August until the 2 September 2016. The gender officer is expected to be available latest from the 26 of September 2016.
Hanns R. Neumann Stiftung Africa
Representative Office Tanzania
P.O. Box 502, Farm No. 611712 (EP. Lot No. 429)
Usa River
Source: Daily News 5 August 2016

”I am NOT in Rio Olympics, that is Photoshop, am currently in Bunge”- Hon Chris Wamalwa says

Kimilili MP Hon Chris Wamalwa has disputed the photo that went viral today (still doing rounds on social medial)showing him having a great time with a caucasian lady and a glass of beer as JUST PHOTOSHOP. Hon Wamalwa blamed bloggers for the photoshop
”I am NOT in Rio Olympics, that is Photoshop, am currently in Bunge”- Hon Chris Wamalwa says

Hon Ababu Namwamba Yet to be Launched Political Party is a Jubilee Project- Hon Ojaamog reveals

Busia Governor Sospeter Ojaamong has dismissed the third force alliance fronted by Budalangi Member of Parliament Ababu Namwamba as a Jubilee project.
Speaking during Mizani ya Nipashe Jumapili on Citizen Television on Sunday night, Ojaamong said it was certain that the pressure group is after assisting Jubilee secure votes in the region.
” Jubilee has a hidden hand in the yet to be formed party and there is no secret about it. Time will tell the motive behind the third force alliance,” he said.
The Governor denied claims that he has already been endorsed as ODM candidate in 2017 gubernatorial contest. ” I welcome those who want the seat on Orange party ticket so that we can battle it out.
I will support the winner if I don’t make it in the primaries. My opponents should also follow suit if I emerge the winner,” he said.
The Governor denied claims that most roads in Busia were impassable, adding that roads which are impassable are under the national government.
He said his government has opened up many virgin roads and that they have set aside Sh350m to tarmac roads linking to estates in Busia and Malaba.
Ojaamong said ODM is becoming strong in the County despite the exit of Ababu Namwamba and Paul Otuoma from top national positions.
He lauded Cotu Secretary General Francis Atwoli for uniting the people of Western Kenya and urged leaders to emulate that gesture instead of trying to mortgage the Luhya community to Jubilee.
He denied claims that there was disunity in Cord with co-principals Raila Odinga, Moses Wetangula and Kalonzo Musyoka reading from different scripts.
Ojaamong said the main aim was to vote out Jubilee from power. Any of the Cord co-principals can carry the coalition’s presidential ticket he said.

MAPENZI: Wanaume Kwa Hili Mnatutesa Mnatuvurugia Wengi

Jamani wanaume wa kizazi hiki cha nyoka sjui mpoje, mkianza mahusiano na mtu mkapeana namba utasikia "bby una watsup" Imo n.k ili uanze kudai picha za uchi na kufanya video calls.Kiukweli wadada wengi tumestukia hilo, na tunapinga vikali no video calls, no sex pictures at all.

Kama hutaki sauti pita hivii!Kingine msitupangie matumizi ya simu zetu, hujainunua wewe sa kiherehere cha nini, kila saa umenuna"bby simu ipo busy kila saa" haikuhusu!Nunua yako nipe kisha nipangie wakuchati nao.

Picha za uchi BIG NO, USINITUMIE WALA SIKU TUMII. TUKIPANGA MIADI YA KUKUTANA NITAANDAA SEHEMU MIMI NA SIO WEWE, POTELEA MBALI KULIKO UKAFUNGE MI KAMERA ILI UNIREKODI.

KINYWAJI NI JUICE TU, POMBE SITAKII

DIAMOND AFANYA TUKIO LA MFANO KWA "CHID BENZ"..HAKUNA TENA KAMA DIAMOND

Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Diamond Platnumz amesema anafanya hivyo kwa Chid Benz kutokana na kitendo alichomuonyesha kabla hajawa maarufu, kukubali kufanya naye collabo ya wimbo wa ‘nalia na mengi’, bila kumzungusha na kumtoza hela kama ilivyo kwa wasanii wengine.

“Mimi nimefanya collabo na Chid, kipindi hicho nilimwambia, hakunitoza hata sh. kumi wala hakunizungusha hata kidogo, ndio maana linapokuja suala la Chidi nakuwa wa kwanza, wakati mimi namfuata Chidi, Chidi hasa nikajua atanikatalia kwanza mimi mbana pua, lakini hakunizungusha na wala hakuniomba hata mia”, alisema Diamond Platnumz.

Tujikumbushe hivi karibuni msanii Chid Benzi alipata matatizo ya matumizi ya madawa ya kulevya, na Diamond alichukua jukumu la kumpeleka hospitali na kumbadilisha damu, kabla hajapelekwa rehab kupata tiba ya urahibu.

Hon Rachel Shebesh THROWS HER ‘Used’ SELF to Project Eugene Wamalwa for Nairobi Governor, but then how many votes?

Project Eugene gets Shebesh backing
It’s now confirmed that Water Cabinet Secretary Eugene Wamalwa’s bid for Nairobi Governor’s seat is a project of Deputy President William Ruto.
Ruto has now enlisted the support of faded Nairobi Women Representative Rachael Shebesh to support Eugene’s quest to unseat Nairobi Governor Evans Kidero in 2017.
Ms Shebesh now says she backs Eugene’s candidature for the Governor’s seat and not Nairobi Senator Mike Sonko who helped her to be elected in 2013.
Ms Shebesh says Eugene has performed excellently as Water CS and he deserved to be the Nairobi Governor rather than the people’s choice Mike Sonko according to latest opinion polls.
Ex-ODM Secretary General Ababu Namwamba who is also under Ruto’s payroll has backed Eugene’s bid saying he’s the most suitable candidate to defeat Sonko and Kidero.
Meanwhile Project Eugene is still causing trouble in Jubilee coalition with a Jubilee youth group dubbed Nairobi youth patriots terming the project as a waste of time and money by DP Ruto.
In a statement the group says the CS is being endorsed and forced down the throats of Nairobi residents by DP Ruto, the Jubilee youth said they are opposed to a leader being imposed on the people of Nairobi without consulting the electorate and other stakeholders.
“We are warning that should the same persist, we shall mobilize our support base to reject Eugene Wamalwa and his god-father in Nairobi. There are enough mothers in Nairobi who have given birth to men and women of integrity capable of leading the Capital city. We cannot accept blind endorsement from outsiders.” said the statement by Jubilee youth.

WEMA SEPETU AFANYA TUKIO ZITO MTANDAONI KWA MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ

Msanii wa filamu Wema Sepetu anaendelea kuuthibitishia umma kwamba hana tena kinyongo na Ex wake wa zamani Diamond Platnumz baada ya Jumamosi hii kumwandikia ujumbe mzuri bintiye Diamond, Tiffah katika siku yake ya kuzaliwa.

Wawili hao hivi karibuni wameonyesha kushirikiana mambo kadhaa katika mitandao ya kijamii licha ya wiki mbili zilizopita kusambaa kwa tetesi ya kurudiana na baadae kukanushwa na Wema Sepetu.

Muigizaji huyo kupitia instagram ameandika ujumbe huu:

Happy Birthday Princess Tee… May Allah bless your precious lil self… You will definitely turn out to be a phenomenal young woman… Princess_tiffah.

Jumamosi hii bintiye Diamond, Tiffah, ametimiza mwaka mmoja ambapo amewashukuru wote waliomtakia heri katika siku hiyo.

“Today a year ago at 4:40 am in the wee hours of the morning I was brought into this world. Thank-you for all my bday wishes & God bless all of you😘. HAPPY BIRTHDAY TO ME,” Ujumbe huu uliandikwa instagram ya binti huyo.

Breaking News: JOYCE KIRIA AGEUKA SHUJAA NDANI YA CHADEMA KWA KUPAMBANA NA MUMEWE HUKU MACHOZI YAKIMTOKA

HAYA NDO MANENO ALIYO ANDIKA MWANA DADA JOYCE KIRIA
Yes sikulilia ndani alipoingia matatizoni….. Niligangamala nikapaza sauti na wanangu mchana kweupeee… Haikuwa rahisi hata kidogo lakini ilinibidi kujitoa fahamu kwa ajili ya kuokoa familia yangu.

Leo napoona dalili nyingine za kuingia kwenye matatizo makubwa zaidi ya haya, kamwe siwezi kukaa kimya…. Yes sintakaa kimya nimwache aende kutumbukia shimoni nitamwambia bila aibu kama nilivyompigania bila aibu .
.
Dear love, umenikasirikia sana kwa kitendo hiki ninachofanya… Lakini naomba ukumbuke wakati unapitia matatizo, ni Mimi nilikuwepo na wewe wakati wote mpz wanmtoto nililazimika kumwachisha ziwa akiwa mdogo sana akalia sana akazoea nikamwacha na Dada kila ilipokuwa tarehe ya kesi nikaja kukutia moyo mpz wangu Tabora mbali kote… Nikajikaza sanaaaa, kukuonyesha tabasamu ili kukupa Amani japo njia nzima nililia sana kwa uchungu ulilia kila uliponionamimi nilijikaza sikulia mbele yako ili nisikuache na mawazooooo….

Kila nilipokuja Gerezani kukuona uliwaulizia rafiki zako ulokuwa unawaamini sana, tena uliamini wangekuja kesho yake, hukuwaona mpaka ukatoka…ulikuwa unawaulizia kama wamenitafuta, nilikujibu hakuna aliyenitafuta mpz ukaumia sana mpz wangu… Kuna wengine hukutaka hata kuongea nao baada ya kutoka ndani na kurudi uraiani….

My love, Siko tayari kupitia mateso niliyopata love, siko tayari kukuona katika mazingira magumu kama yale mbaya zaidi ni ya KULAZIMISHA… Labda yatokee bahati mbaya… Lakini ya kwenda kuyatafuta hapana baba….. Najua tena nauhakika hauko tayari kuniona tena katika mateso kama Yale…hilo nauhakika nalo….Nimewaambia watoto wanisamehe kama nitakuwa nimekosea, lakini naimani hata wao cha moto walikiona, wasingependa baba yao aingie tena kwenye shida kama ile au zaidi ya ile Popote ulipo jua nakupenda sana ndo maana nakulinda mume wangu kwa garama yeyote .Kwangu Mimi Familia kwanza, Taifa kwanza, chama baadae…..

TAFADHALINI UKUTA WEKENI KANDO MFANYE MAZUNGUMZO MEZANI… MSIFANYE UBABE TULIZENI JAZBA KWA FAIDA YA FAMILIA ZENU NA TAIFA ZIMA…
Older Posts
© Copyright CHUNGU CHETU | Designed By CHUNGU CHETU
Back To Top