Loading...

MAPENZI: Msanii Johari ajuta kutangaza kuwa anahitaji kuwa na Mume...Shuhudia Wanaume walivyomiminika kwake hii Haijawahi kutokea

Msanii wa filamu, Johari Chagula amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa ana kiu yakumpata mume sahihi ambaye ataingia naye kwenye maisha ya ndoa.

Mwigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja, amesema umri wake kwa sasa unamruhusu kuingia kwenye maisha ya ndoa

“Mimi ni mwanamke kamili, ni mtu mzima. Nimeshakuwa sasa, kwahiyo kiukweli nina kiu ya mume,” Johari aliliambia gazeti la Mtanzania. “Mungu akinipa mume bora, nitaolewa. Sitaki kuzungumzia sana mambo yaliyopita, lakini muhimu kwa sasa ni mume,”

Mbali na hayo mwingizaji huyo amewataka kukaa mkao wa kula kwa ajili ya filamu yake mpya ambayo amewashirikisha wasanii wachanga kutoka mkoani Mwanza.

1 comments:

KIUKWELI NIKO MASOMONI YA UDOCTA WA AFYA,LAITI NINGEMALIZA NAMI NINGEJITOKEZA KWAKO,NIKO APA MAPUTO MOZAMBIQUE

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright CHUNGU CHETU | Designed By CHUNGU CHETU
Back To Top