Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Mhandisi Steven Mlote, Mwenyekiti wa NACTE amesema, hatua hiyo imefikiwa ili kutokana na kutokidhi viwango sambamba na kuboresha viwango vya elimu nchini.“Baraza limetengaza kuwa vyuo 41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa kwa mujibu wa sheria vimepewa muda wa wiki mbili na kutakiwa vijisajili mara moja kwenye baraza hilo kabla ya kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
“Vilevile, vibali vya usajili wa vyuo 112 vya kutoa elimu ya ufundi vimefikia ukomo hivyo vinapaswa kutekeleza masharti ya Usajili; wakati vyuo 57 vimefikia ukomo wa ithibati, hivyo inapaswa kutekeleza masharti ya ithibati,” amesema.
Mlote amesema, baraza limetoa muda wa mwezi mmoja kwa vyuo 112 kutekeleza masharti ya usajili na vyuo 52 kutekeleza masharti ya ithibati kwa mujibu wa sheria za uendeshaji vyuo vya ufundi nchini na vyuo vitakavyoshindwa kutekeleza agizo hili vitafungiwa mara moja.
“Vyuo 41 vinavyotoa elimu ya ufundi bila kusajiliwa kwa mujibu wa sheria nimevipa muda wa wiki mbili vijisajili mara moja kwenye baraza kabla ya kuchukuliwa hatua kali za kisheria,” amesema.
Jedwali I: Vyuo vya Ufundi Vilivyofutiwa Usajili
NA. | CHUO |
State College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam | |
Zoom Polytechnic College – Dar es Salaam | |
Tabitha College – Dar es Salaam (formerly: Thabita Vocational Training College – Dar es Salaam) | |
Financial Training Centre – Dar es Salaam | |
TMBI College of Business and Finance – Dar es Salaam |
Jedwali II: Vyuo ambavyo Havijasajiliwa na vinavyoendesha Programu zisizo na Kibali cha Baraza
NA. | CHUO |
1. | King Solomoni College – Arusha |
2. | Avocet College of Hotel Management – Arusha |
3. | Kewovac Nursing Training Centre – Mbagala, Dar es Salaam |
4. | St. Family Health Training Institute – Mbagala, Dar es Salaam |
5. | Bethesda Montessori Teachers Training College – Arusha |
6. | Green Themi Teacher’s College & Green Themi Institute of Tourism |
7. | Mainland Institute of Professionals – Arusha |
8. | St. David College of Health – Dar es Salaam |
9. | Islamic Culture School – Dar es Salaam |
10. | Tanzania Education College – Dar es Salaam |
11. | Macmillan Training College – Dar es Salaam |
12. | Tanzania International University (TIU) – Dar es Salaam |
13. | Dodoma College of Business Management – Dodoma |
14. | Faraja Health and Emergencies – Mbeya |
15. | St. Joseph College – Mbeya |
16. | St. Peter Health Management – Mbeya |
17. | Kapombe Nursing School – Mbeya |
18. | Uyole Health Institute – Mbeya |
19. | Josephine Health Institute – Mbeya |
20. | Institute of Public Administration – Chake chake Pemba |
21. | Dar es Salaam College of Hotel and Business Studies – Vuga, Unguja, Zanzibar and Chake Chake, Pemba, Zanzibar |
22. | Zanzibar Training Institute, the Professional College of Information Technology, Languages and Business Studies – Mwera Meli Sita Unguja Zanzibar |
23. | Azania College of Management – Raha Leo, Zanzibar |
24. | Time School of Journalism – Chakechake, Pemba |
25. | Residence Professional College – Mombasa, Zanzibar |
26. | Mkolani Foundation Organisation – Mwanza |
27. | Kahama College of Health Sciences – Kahama |
28. | Institute of Adult Education-Mwanza Campus – Luchelele Site |
29. | Zoom Polytechnic – Bukoba |
30. | Johrow Star Training College – Shinyanga |
31. | St. Thomas Training College – Shinyanga |
32. | Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication DMSJ – Bukoba |
33. | Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ – Mwanza |
34. | Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ – Geita |
35. | Dar es Salaam School of Journalism and Mass Communication (DMSJ – Simiyu |
36. | Harvest Institute of Health Sciences – Mwanza |
37. | Singin International – Bukoba |
38. | College of Business Management – Mombasa, Zanzibar |
39. | Tanzania Star Teachers College – Chakechake, Pemba, Zanzibar |
40. | Tanzania Star Teachers College – Unguja, Zanzibar |
41. | St. Mary’s International School of Business – Sumbawanga |
Jedwali III: Vyuo Vilivyosajiliwa lakini Vinatoa Programu zisizo na Kibali cha Baraza
NA. | CHUO | PROGRAMU |
1. | AP and Prime College of Business Studies – Dar es Salaam | Medical Attendant |
Nursing Assistant | ||
2. | Universal College of Africa – Dar es Salaam | Banking and Finance |
Business Administration | ||
Clearing and Forwarding | ||
Airfares | ||
Information and Communication Technology | ||
Nursing | ||
Hotel Management | ||
Secretarial Course | ||
Procurement and Supplies | ||
3. | Professional Skills Development International (PSDI-CENTRE) Centre – Bagamoyo | Offering Non-NTA programmes (Various Short Courses) |
4. | Ruter Institute of Financial Management – Mwanza | Accountancy |
Procurement and Supply | ||
Banking and Finance | ||
ICT | ||
5. | Mwanza Polytechnic College – Maswa | Ordinary Diploma in Early Childhood Education |
6. | Royal College of Tanzania – Dar es Salaam | Law |
7. | Belvedere Business and Technology College – Mwanza | Accountancy |
8. | Chato College of Health Sciences and Technology – Chato | Pharmacy |
9 | St. Glory College of Health and Allied Sciences – Dar es Salaam | Medical Attendant |
10. | Zoom Polytechnic College – Dar es Salaam | Computer Science |
11. | Zanzibar Technology College – Zanzibar | Computer Science |
Post a Comment